0

Kifo cha Emmanuel Mayanja maarufu kama AK47 mapema

mwaka huu kiliwaacha wengi na huzuni sana. AK47 ni ndugu wa toka nitoke wa wasanii maarufu Afrika mashariki, nawazungumzia Joseph Chameleon, Weasel Pamoja na Pallaso.

 Mke wa marehemu AK47 amesema kuwa familia ya Mayanja imemtelekeza na kumwachia majukumu ya kuwalea watoto wake wawili ambao ni mapacha. Hata hivyo amesema kuwa tangu kifo ya mumewe, ni Pallaso tu ambaye alionyesha nia ya kumsaidia na kumfariji japo baadaye hakuendelea kumsaidia.

Taarifa kutoka kwa vyanzo vya kuaminika inadai kuwa Maggie(mke wake AK47)  hana furaha na kila kuchao matatizo  hasa ya kuwalea wanawe yanazidi.

Image result for ak47 uganda realMarehemu AK47 na Jose Chameleon


Hii ndiyo taarifa iliyochapishwa kwa na gazeti la Kampala Sun;


AK 47’s death earlier in March left the nation in shock. However, what is happening to his twins now is despicable, worse than the initial shock of the yet unsolved death. The late’s children have been chased away from “their” Seguku home by the Mayanja’s (parents of the late, Jose Chameleone, Pallaso, Weasel and others) -- Kampala Sun claimed to have been told by Maggie.

Naye Maggie alikuwa na haya ya kusema:

“I am finding a lot of hardships ever since Emma died, my kids and I left Seguku and we are now renting in Kiwatule,” said Maggie.  “It is actually becoming expensive for me because if it weren’t for my family, I don’t know how we would be.”  She also added that 
“It is really weird when I say that none of AK’s brothers has come out to help us, the very first week after Emma’s death, I was in contact with Pallaso but since then I haven’t even received a call from them to find out how my kids are. I really thank King Saha and his manager Sam Mukasa because they are always trying to find out how we are doing and Saha usually calls me to go and shop for my kids and he always caters for the bill." 

Familia ya Mayanja imekanusha madai haya na kusema kuwa ni uwongo.Maggie amesema kuwa tayari ameripoti kesi hii kwa shirika linaloshughulikia ugomvi wa Nyumbani kama vile FIDA ili aone kama atapata usaidizi wowote.


Post a Comment

 
Top