0

 
Hiki ni ni kitengo cha Kali za Wiki hii ambacho kinawangazia wasanii ambao wametoa nyimbo mpya na baadhi ya maoni ambayo mashabiki walitoa. Kitengo hiki kitatayarishwa
kila siku ya ijumaa na kuangazia nyimbo ambazo zimetolewa hivi punde na wasanii unaowapenda wa muziki wa kizazi cha sasa. Siku zote msanii mwenye bidii ndiye anayeweza akafaidi na kubaki kwenye chati kwa muda mrefu .Zifuatazo ni nyimbo zilizotolewa hivi punde na baadhi ya maoni ya mashabiki:

1. Kuchu kuchu by Bahati ft Wyre and King Kaka

Wimbo huu umetayarishwa na Saint P na video imeongozwa na One Montage, haya ndiyo maoni yaliyotolewa na mashabiki:

Hii Mziki iko Juu.......and these 3 are the top artistes in Kenya and they delivered.....!!! wale wa siasa waendelee na siasa.......
WITH THIS SONG BAHATI HAS DONE A COLLABO WITH SECULAR ARTIST WILL TELL EVERYBODY THAT GOD IS FOR EVERYBODY ITS U AND ME TO HAVE  TRUST IN GOD. THANKS FOR A GOOD SONG. WE CAN DO A COLLABO  WITH SECULAR ARTIST BUT WITH ONE MESSAGE THAT IS TO PRAISE GOD.
This is great guys I love it and I dont seem to get enough of it.I have played it countless times.Baha may God continue blessing you.Its not a must to do a collabo with your fellow gospel musician for the message to reach others.Owesome work. Wire the love child and King Kaka big up brothers. I LOOOOOOVE this song all the best guys.

what is kuchukuchu?bahati win many souls to christ that's what you were born to do,serve God in truth en in spirit,seek GOD today more than yesterday,only God knows why you three did a collabo,judge not...

The guy on the chorus is deep.. Especially if he got a collabo with Diamond!
2. Lini by Rich Mavoko ft Rabbit

Huu wimbo umetayarishwa na Cedo ndani ya Pacho Studio haya ndiyo maoni
·
My my my my Indeed I always say #KingKaka  never fails a big chune

Kaka hii ipo ndani bana.... Rich Mavoko collabo swafe........
I have been waiting for this upload.... Kaka sungura kaka empire big fan big love forever...kwa mistari nakusalute
 
heeey ka we uko nai'....hehehe msee ulitoka mbali sana u av been ma favourite sinc zile zama ukivaa kiwallahy kofia ya green haha big up kaka empire
 


Post a Comment

 
Top