0

Njia moja ya kuishi na amani kwenye mtandao wakijamii hususana wa twitter, ni kuhakikisha kuwa, haujawakosea wakenya. Hivi majuzi kituo cha kimataifa CNN kilijipata pabaya baada ya kusema kuwa taifa la kenya ni makao ya uhalifu. Jamaa ambaye najua hajukuwa na furaha siku ya Leo ni Rais wa taifa la Rwanda Paul Kagame.

Hali hii ilianza pale ambapo Rais Paul Kagame alitweet kuwa

Many thanks to the tireless legal team ,friends and the unbreakable Rwandan spirit....!!!

Kilichofuatia ni tweet ya mtangazaji mmoja kutoka kituo cha televisheni nchini Levi Kones, ambaye alimsihi rais Kagame kuwa asiharibu urithi wake kwa kusalia rais maishani.

@PaulKagame I really hope sir, you will not ruin your legacy by being President for life.

Kosa alilofanya rais Kagame ni lile jibu alilompa Levi Kones

@levikones worry more about your own legacy ...if you got any at all to think about!!

Muda mfupi baadaye Jeshi la nne kutoka Kenya maarufu kama KOT, lilianzisha Hashtag . Hizi ni baadhi ya tweet ambazo wakenya walituma:


that the presidency is not marriage where its "untill death do us part".Serve your term and let others also serve.

  1. he should retire as a president & use his height in space exploration.

that if he want to leave a legacy, he should release Opposition leader

time has come should do what Nelson Mandela did, Step down and let other fresh young minds to Lead Rwanda

  1. Dictatorship starts from saying "Allow me for the third and last time", the same way tunaombanga kuingiza kichwa tu.
  1. he is the soft copy of Idi Amin,a photocopy of Yoweri Museveni & a scanned Mugabe in terms of president leadership

Post a Comment

 
Top