0

Hivi karibuni Tanesco ilifanya ziara ya ghafla nyumbani kwake Wema Sepetu na kubaini kuwa anatumia umeme bila kulipa.
Akiongea na wanahabari mkurungenzi mkuu wa Tanesco Eng. Felichesmi Mramba alieleza kiasi cha fedha kinachopatikana kutokana na faini wanaopigwa wezi wa umeme.
Wema sepetu anadaiwa Ksh 410,024.81 ambazo ni zaidi ya shillingi millioni nane za Tanzania.

Post a Comment

 
Top