0

Wiki moja tu baada ya kung'aa kwenye tuzo za MTVMAMA kama mtumbuizaji bora wa mwaka, Abdul Naseeb maarufu kama Diamond Platnumz ameongeza idadi ya tuzo zake. Usiku wa kuamkia leo,
alitajwa kama Msanii wa Afrika wa mwaka nchini Afrika Kusini kwenye hafla ya tuzo za African Achievers Awards 2015.




Kama njia moja ya kuwashukuru wote waliomwezesha kushinda aliuandika ujumbe ufuatao kwenye ukurasa wake wa facebook:

"thanks God for keep Blessing my Hustle....AFRICAN ARTISTE OF THE YEAR ‪#‎AfricanAchieversAwards2015‬ (Shukran Nyingi ziwafikie Uongozi wangu kwa kuhakikisha unanisimamia ipaswavyo, Mama yangu kipenzi Sandrah, My beautiful Baby @zarithebosslady , Media zote, na Mashabiki zangu pendwa kwa kuendelea Kunisuport bega kwa bega...." 

Post a Comment

 
Top