0

Imani ni kitu ambacho kinamuunganisha mtu na muumba wake. Watu wengi duniani huabudu miungu tofauti tofauti, ilmradi wanakidhi haja ya imani yao. Msanii maarufu duniani Chris Brown amekiri kuabudu shetani kwa muda mrefu, hali amabyo imemfanya kupitia machungu mengi maishani. Kupitia mtandao wake wa Instagram haya ndiyo aliyoyaandika:

“When u tired of the fucking devil ruining your life and u hear God speak for the first time.
No one knows what I deal with on a day to day. The average man wouldn’t hesitate to blow his fucking brains out but that’s the cowards way out… Most won’t understand the genius and beauty in change and learning and the people who have devilish intentions will win in the short term. My soul will always be pure of heart.
What’s on the surface always looks like one big party but inside there is a little boy looking for help and guidance. People say “be a man”. Yeah, that’s right but it doesn’t take away any pain you really go through. I just wanna stay out the way and do music. Most importantly and great father.
I don’t have any more patience for anything that will cause me to self destruct!!”



Hatua ya Chris Brown kuchukua mkondo mpya wa maisha inamaanisha kuwa anayelewa maandishi matakatifu ambyo   kupitia Mathayo 11:28-30 yanasema kuwa:

28 “Njooni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha. 29 Jifungeni nira yangu; jifunzeni kutoka kwangu; kwa maana mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo, nanyi mtapata raha nafsini mwenu. 30 Kwa maana nira yangu ni rahisi, na mzigo wangu ni mwepesi.”
Kuamua kufanya uamuzi wa kuwaacha kuabudu miungi mingine ni jambo nzuri na ina maana kuwa, msanii huyo wa Rnb amepata mwongozo ambao utamfaa maishani na kumwepushia machungu ambayo  amekuwa akipitia. Cha muhimu ni kuwa anahitaji maombi yako ambayo huenda yatamsaidia kusalia kwenye mwanga.

Post a Comment

 
Top