0


Ijapokuwa hawakuweza kushinda tuzo ambazo waliteuliwa hivi punde, kundi la
Sauti Sol linazidi kung'aa zaidi. Hivi majuzi waliteuliwa kwenye vipengele zaidi ya mbili kwenye tuzo za AFRIMA zitakazopeanwa Marekani  baadaye mwaka huu.


Add caption

Ili kuthibithisha kuwa Sauti Sol ndiwo wanaopendwa zaidi nchini Kenya, kundi hilo limepewa fursa ya kipekee  kutumbuiza rais Barack Obama hii leo jioni ndani ya Ikulu.

Kupitia ukurasa wao wa twitter sauti sol walikuwa na haya ya kusema:


Post a Comment

 
Top