0


5229977_1436737212.3528
Matatizo ya Christian wa Longombas yalianza mnamo
mei 18, 2015 ambapo alianguka chini kwa ugonjwa wa kifafa. Baadaye alipopelekwa hospitali ilibainika kuwa alikuwa na tatizo kubwa kichwani ambao kwa kimombo unaitwa parasagittal meningiomas. 

l2
christian akisubiri kufanyiwa upasuaji


Christian ni msanii kutoka kwa kundi la Longombas ambalo limetoa vibao vingi ambavyo viligusa wengi na bado vinazidi kuburudisha. Hali ya Christian imeboreka kidogo japo bado anahitaji kuendelea kupata hudhuma ya hospitali kwa zaidi ya miezi sita.

Kwenye ukurasa wao wa facebook waliandika hivi;
Hi family, and friends we are supporting one of our own Christian Longombas as he goes through this hard time of his BRAIN SURGERY, and RECOVERY. Here below is the GoFundMe page where you can show your love, and support. Please remember to share. Thank you may God bless you.  http://www.gofundme.com/yxz8rc4?
wasanii wengine pia wameamua kuwashauri mashabiki kumwombea Christian na pia kutoa mchango wao ilikufanikisha bill ya hospitali. Mmojawapo ni Daddy V, kwenye mtandao wake wa facebook aliandika hivi:

Christian’s journey still continues, after the second surgery, the doctors noted that they were able to safely remove 90% of the tumor and he still needs to go through six weeks or more of radiation in order to completely remove the tumor. Now Christian can’t perform or work even if he wanted to. Being away from home and not being able to work, this tragic journey has left Christian with a huge medical bill. Please, let’s support Christian and his family in this moment of his recovery. Please continue praying for Christian and send your financial support to clear his medical bills.


L1
christian baada ya upasuaji.

Post a Comment

 
Top