0

Victoria kimani ni msanii wa kwanza kutoka kenya kuwahi kusajiliwa na label ya Nigeria’s Chocolate City record. Makaazi yake ni nchini Nigeria. Hivi majuzi aliteuliwa kuwania tuzo za African Entertainment Awards kitengo cha Best female Artist of the year


“The least supportive …. Kenyans make it hard for an artist to be an artist , this includes fashion art music acting whatever,” tweeted Kimani.
Aliongeza kuwa,
“Then get angry when we are appreciated elsewhere , this is heartbreak. We are the least patriotic people on this continent as it pertains to the arts.”
Ili kuthibitisha kile alichokisema alipeana mfano mzuri namna wakenya hawakumuunga mkono alipoanza safari yake ya uigizaji, hivi ndivyo alivyo andika:
“Lupita had to travel and be uplifted by others for you be proud #Kenyans. Life without art is hell….how can the Kenyan youth not have an interest in the arts ? Who robbed us of our self-expression?” 
Utafiti umeonyesha kuwa wakenya hawajapatia kipao mbele muziki wa nchi yao, kinyume na nchi jirani ya Tanzania ambapo muziki wao unapendwa zaidi. Nchini Kenya asilimia 55% ya vijana ndiwo wanaopenda muziki wa kenya. Tanzania ni asilimia 94%, napo Uganda ni asilimia sabiini 70%, Naigeria ni asilimia 72% na kutoka Mozambique ni asilimia 85%.
Kwa muujibu wa utafiti huu, Victoria Kimani alikuwa na haya ya kuwaambia wasanii wa kenya
“So..if Only 55% of Kenyan youth care about music, if a Kenyan Music Artist does not Travel, they are doomed to failure,” 
Hata hivyo mashabiki wameonyesha hisia mseto kuhusu huu mtazamo wa Victoria Kimani:
heri nisupport sounds ya mshuto": Victoria Kimani is somehow right..... Now let's start supporting Kaana's music career. Shall we?"
So are mad at Victoria Kimani for telling them the truth! LOL! The truth hurts!
victoria kimani tell `em gal.i told them ma self but they chose not to listen.

Post a Comment

 
Top