0

Kifo ni mojawapo ya hatua ambayo haiwezi ikaepukika maishani. Kinacho huzunisha na kifo ni kuwa hakibishi wala kupiga hodi. Kupitia kifo tumewapoteza wapendwa wetu ambao hata iwe vipi, itakuwa vigumu kuziba mapengo ambayo wameyaacha.

Asubuhi ya tarehe saba mwezi huu Kelvin Rost muigizaji wa Tahidi High aliaga dunia kutoka na kwa kilichodaiwa kuwa Asthma. Kifo chake kilitokea siku nne tu baada ya shangazi yake kuaga dunia pia. Kelvi Rost alikuwa ni yatima ambaye kujituma kwake maishani kulikuwa wa hali ya juu sana. Ameaga dunia akiwa na umri wa miaka ishirini.

Ni huzuni sana kuona kijana mdogo mwenye talanta ya kipekee kuondoka duniani wakati anahitajika zaidi. Mola ailaze roho yake mahala pema peponi

Hizi ndizo badhi ya picha zake:






Post a Comment

 
Top