Kwa upande wake Vera amekanusha madai hayo na kusema kuwa gari ni lake na wala sio la Alex. Kisha aliamua kumwaga hisia zake za hasira kwenye mtandao wa instagram. Je yawezekana kuwa Vera amegeuka na kuwa mwongo kama mwenzake Huddah Monroe, ambaye hivi majuzi aliiba picha kutoka kwa mtandao kisha akadai kuwa ni zake?
Tazama screenshot ya mazungumzo baina ya Vera sidika na Ahmadk243:
Post a Comment