Hiki ni ni kitengo cha Kali za Wiki hii ambacho kinawangazia wasanii ambao wametoa nyimbo mpya na baadhi ya maoni ambayo mashabiki walitoa. Kitengo hiki kitatayarishwa
kila siku ya ijumaa na kuangazia nyimbo ambazo zimetolewa hivi punde na wasanii unaowapenda wa muziki wa kizazi cha sasa. Siku zote msanii mwenye bidii ndiye anayeweza akafaidi na kubaki kwenye chati kwa muda mrefu .Zifuatazo ni nyimbo zilizotolewa hivi punde na baadhi ya maoni ya mashabiki:
1. Kuchu kuchu by Bahati ft Wyre and King Kaka
Wimbo huu umetayarishwa na Saint P na video imeongozwa na One Montage, haya ndiyo maoni yaliyotolewa na mashabiki:
Kevo Juice
Hii Mziki iko Juu.......and these 3 are the top artistes in Kenya and they delivered.....!!!
wale wa siasa waendelee na siasa.......
WITH THIS SONG BAHATI HAS DONE A
COLLABO WITH SECULAR ARTIST WILL TELL EVERYBODY THAT GOD IS FOR
EVERYBODY ITS U AND ME TO HAVE TRUST IN GOD. THANKS FOR A GOOD SONG. WE
CAN DO A COLLABO WITH SECULAR ARTIST BUT WITH ONE MESSAGE THAT IS TO
PRAISE GOD.
This is great guys I love it and I
dont seem to get enough of it.I have played it countless times.Baha may
God continue blessing you.Its not a must to do a collabo with your
fellow gospel musician for the message to reach others.Owesome work.
Wire the love child and King Kaka big up brothers. I LOOOOOOVE this song
all the best guys.
what is kuchukuchu?bahati win many
souls to christ that's what you were born to do,serve God in truth en in
spirit,seek GOD today more than yesterday,only God knows why you three
did a collabo,judge not...
The guy on the chorus is deep.. Especially if he got a collabo with Diamond!
2. Lini by Rich Mavoko ft Rabbit
Huu wimbo umetayarishwa na Cedo ndani ya Pacho Studio haya ndiyo maoni
·
My my my my Indeed I always say #KingKaka never fails a big chune
Kaka hii ipo ndani bana.... Rich Mavoko collabo swafe........
I have been waiting for this upload.... Kaka sungura kaka empire big fan big love forever...kwa mistari nakusalute
heeey ka we uko nai'....hehehe msee
ulitoka mbali sana u av been ma favourite sinc zile zama ukivaa
kiwallahy kofia ya green haha big up kaka empire