0


Baada ya kumsababisha rais Barack Obama kuresebuka lipala Dance ndani ya Ikulu,
kundi la Sauti Sol lilizungumziwa zaidi na vyombo vingi vya habari duniani. Bila shaka hili ndilo kundi linalopendwa zaidi Afrika Mashariki hasa ikizingatiwa kuwa mwaka huu limeteuliwa kuwania tuzo nyingi.



Habari njema ni kuwa kupitia akaunti yao ya instagram wamethibithisha kuwa kuna wimbo wanauandaa na msanii maarufu duniani Akon

“Meeting @akon at State House Nairobi! Great evening it’s been performing for Presidents @ukenyatta@barackobama #ObamaReturns#ObamainKenya Yes something is cooking, wait for it! Tag a die hard@akon and @sautisol fan”

Post a Comment

 
Top