Mtoto ni baraka kutoka kwa mwenyenzi Mungu na siku zote anakaribishwa duniani kwa furaha. Msanii wa kike kutoka Nigeria Tiwatope Savage-Balogun maarufu kama Tiwa Savage amejaliwa
mtoto wa kiume. Mume wake Tunji Balogun a.k.a Tee Billz amemkaribisha mwanao kwa shangwe na bashasha.Tiwa Savage aliolewa mnamo 23 Novemba, 2013 katika arusi ambayo ilikuwa ya kutamanika sana.
Huku Tiwa Savage akifurahia kuongezeka kwa familia yake, msanii kutoka kundi Sauti Sol Bien amekiri kumzimia mwanadada huyo kutoka Nigeria. Kupia ukurasa wa facebook Bien alikuwa na haya ya kusema:
Bien Aime-Baraza |
"Then the LORD God made the rib He had taken from the man into a woman and brought her to the man... Her name is Tiwa Savage. My everlasting crush #WCW She's very sweet, very niiiiiice
😘😘😘😘😍😍😍- Bien-Aime Baraza"
Post a Comment