Muziki wa Afrika Mashariki umekuwa na ushindani mkubwa sana hivi kwamba unahitaji ubunifu wa hali ya juu ili kubakia kwenye kilele.
Hata hivyo mwaka wa 2016 unapoelekea ukingoni nimeona ni vyema ni kurudishe nyuma kidogo kama njia moja ya kukupekulia nyimbo kumi zilizofanaya vizuri mwaka huu:
Nafasi ya 10. Only you by Dr. Jose Chameleon ft Patoranking Tazama audio ya wimbo huo
Nafasi ya 09. Mwana by Alikiba Hii hapa video ya wimbo huo
Nafasi ya 08. Ngori by Kelele Takatifu Hii hapa video ya wimbo huo
Nafasi ya 07. Kuchi kuchi by Kizo B Tazama wimbo huo hapa
Nafasi ya 06. Love you Everyday by Bebe Cool Hii hapa wimbo huo
Nafasi ya 05. Lover by Bahati Tazama wimbo huo hapa
Nafasi ya 04 Baadaye by Amos and Josh Ft Rabbit King Kaka Huu hapa wimbo huo
Nafasi ya 03. Nitakupwelepweta by Yamoto Band Huu hapa wimbo huo
Nafasi ya 02. Nerea by Sauti Sol ft Amos and Josh Huu hapa wimbo huo
Nafasi ya 01. Nana(Sankoro) by Diamond Platnumz ft Mr. Flavour Huu hapa Wimbo huo
Post a Comment