Kulipuka kwa Ebola Afrika Magharibi lilikuwa tatizo ambalol iliathiri nchi nyingi duniani, leo habari imeibuka kuwa Shirika la Ndege la Kenya Airways lilipata hasara ya kama Bilioni 12 kutokana na kusimamisha safari zake kwenda Liberia !
Kenya Airways leo imerudi na taarifa nyingine kwamba wameamua kurudisha utaratibu wa kupeleka ndege zao Liberia kutokana na hali kutulia na Shirika la Afya Duniani kuthibisha kwamba hakuna tena maambukizi ya Ugonjwa huo kwa sasa ndani ya Liberia.
Ndege za Kenya Airways ziliacha kutua Liberia tangu miezi ya katikati ya mwaka jana
Post a Comment