Mashabiki wengi wa alikiba walishindwa kwanini alichelewesha video ya wimbo wake wa Chekecha Cheketua......
Jibu lake ilikuwa Video ya Chekecha Cheketua imechelewa kwa sababu ya machafuko ya Xenophobia ambayo yalitokea South Africa, wakashindwa kwenda kushoot video.
Ninazo pichaz za Behind the scenes, hii ni dalili kwamba tukae tayari kwa mara nyingine Ali Kiba kuachia kazi hiyo ambayo imefanywa Afrika Kusini.
207_990201527669985_3621752852948935619_n.jpg
Post a Comment