Ijapokuwa hawakuweza kushinda tuzo ambazo waliteuliwa hivi punde, kundi la
Sauti Sol linazidi kung'aa zaidi. Hivi majuzi waliteuliwa kwenye vipengele zaidi ya mbili kwenye tuzo za AFRIMA zitakazopeanwa Marekani baadaye mwaka huu.
Add caption |
Ili kuthibithisha kuwa Sauti Sol ndiwo wanaopendwa zaidi nchini Kenya, kundi hilo limepewa fursa ya kipekee kutumbuiza rais Barack Obama hii leo jioni ndani ya Ikulu.
Kupitia ukurasa wao wa twitter sauti sol walikuwa na haya ya kusema:
Post a Comment