SIFANYI GOSPEL, ASEMA JUACALI
Idadi ya wasanii wanaohasi secular music na kuanza kufanya Gospel
inaongezeka kila kuchao. Miongoni mwa wale waliofanya hivyo ni Size 8 Reborn jina lake kamili ni Linet Masivo Munyali, Lady Bee naye pia jina lake la kipande ni Bernice Nduku, bila kumsahau Bamboo (Simon Kimani).
Kuacha kufanya secular music inamaanisha kuwa utabadilisha vitu vingi vikiwemo mtindo wa mavazi miongoni mwa kushusha starehe nyingi za maisha. Hivi majuzi msanii Paul Ndunda maarufu kama Juacali aliwashangaza wengi baada ya Mtayarishi wa nyimbo za Kidini Erick Omba kupost picha hii
kisha akacaption maneno yafuatayo
"Trust me this guys is real nice and kind. How many would like to see Jua Cali Singing for God?.”
Kufuatia picha hii mashabiki wengi wa Juacali hitmaker wa Karibu Nairobi walibaki na maswali kibao ikiwa ameamua kufanya nyimbo za injili. Kwenye ukurasa wake wa facebook Juacali alikana alikuwa na jibu hili.
“Hii story ati nataka kufanya Gospel ni UONGO don’t believe everything you read.Ngeli bado ni ya Genge!!!”
Basi habari ndio hiyo
Post a Comment