0

Miongoni mwa vitu ambavyo haviwezi epukika maishani ni


mabadiliko.

Naziz with dreads



 Msanii ambaye amedumu kwenye ulingo wa muziki Nazizi aliamua kukata DREADLOCKS zakekatika huu mwezi mtukufu wa ramadhani. Nazizi amabaye jina lake lingine ni Hirji ni mwingi wa unyenyekevu na msiri sana maisahani.

Miaka ya hapo nyuma Nazizi amabaye alikuwa kwa kundi amabalo lilifahamika kama Necessary Noise pamoja na wasanii kama vile Bamzigi, Wyre the love child pamoja na Bebe Cool kutoka uganada alichangia ukuaji wa muziki wa Kenya na Afrika Mashariki.

Tazama muonekano wake baada ya kunyoa dreadlocks zake



kabla hajakata dreadlocks

Post a Comment

 
Top