Shughuli za kawaida katika chuo kikuu cha Kenyatta zilisimama
kwa takriban dakika kumi baada ya ndege zinazohusishwa na usafiri wa rais wa Marekani Barack Obama baadae wiki hii kutua katika uwanja wa michezo chuoni.
Hali hii iliwafanya wanafunzi pamoja na wafanyikazi kujikusanya huku wakiona matukio ambayo yalilikuwa ya kupendeza.
Marine One ni ndege rasmi ambayo Rais wa Marekani huitumia kusafiria ndani ya nchi ambayo anatembelea na ni dhahiri kuwa ndege hii ndiyo itakayotumika ila sio gari lake la "limo" maarufu kama "The Beast"
.
ukitaka kupata habari zaidi kuhusu Marine one ingia gizmodo.com
Post a Comment