Maumbile siku zote ni baraka kutoka kwa mwenyenzi Mungu. Hata hivyo, uwe na umbo lenye mvuto au ukose, muhimu ni kuwa
sote tumeumbwa kwa mfano wa muumba. Wafuatao ni Washaufu(socialites) wenye umbo lenye mvuto barani Afrika
1. Vera sidika Kenya
2. Corazon Kwamboka (Kenya)

3. Daniella Okeke Nigeria (mwigizaji)
4. Judy Anyango- Kenya
5.Joselyn Dumas-Ghana (mtangazaji)
6. Juliet Ibrahim-Ghana (mwigizaji)
7.Lisa Visagie-south Africa (Model)
8. Matilda Quaye-Ghana (Mwana mtindo)
9. Didi Ekanem Nigeria (mwana mitindo)

10. Tracey Obonna Nigeria (mwana mtindo)

11. Risper Faith (Kenya)
12. Lisa Visagie (Afrika Kusini)

13.Grace Msalame (Kenya Mtangazaji)

14. Zari Hasan Uganda
15. Agnes Masogange ( Tanzania)

16. Hudah Monroe Kenya

17. Princess Shyngle Ghana

18. Toolz Ghana

19. Omotola Jelade Nigeria

20. Tango Ncetezo Afrika Kusini

Post a Comment