Hali ilivyo ni kuwa zari the boss lady, siku zake za kumleta malaika zimekaribia. kwa muujibu wa jumbe alizoandika kwenye mtandao wa kijamii hususan kwenye instagram,huenda Diamond Platnumz atabarikiwa na kifungua mimba wake siku chache zijazo. Kupitia instagram yake hizi ndizo picha aliweka pamoja na jumbe:
They say when you have it, flaunt it. Kwani kuna mtu kaibiwa???
Keeping it sexy and classy.
Kwa raha zetu...... vaeni madera, fungeni mikanda mpite kimya kimya
Post a Comment