0
Bobbi


Baada ya kuhangaika hospitalini kwa zaidi ya miezi sita huku akiwa kwenye mashine ya
kuendeleza uhai (life support machine), hatimaye Bobby ameafariki dunia.

Kupitia vyombo vya habari, familia yake ilikuwa na ujumbe huu “She is finally at peace in the arms of God,”  vilevile familia yake ilishukuru kila mmoja aliyeonyesha mapenzi kwao wakati wakipitia kipindi kigumu.

Bobby Christina ameaga dunia akiwa na miaka 22.

Post a Comment

 
Top