0
Embedded image permalink

Popote aendapo lazima, ataacha historia. Namzungumzia rais Barack Obama. Ziara yake mwishoni mwa wiki jana hapa nchini bila shaka ndiyo iliyozungumziwa zaidi kwenye vyombo vya habari na hata  mtandaoni. Makaribisho aliyoyapata  yalikuwa yakipekee. Kinyume na hali ya kifahari na kishujaa iliyoandamana na makaribisho yake hapa, kule Uhabeshi (Ethiopia) alikaribishwa kwa
nusu mkeka.





Mbali na kwamba rangi ya zulia yenyewe haikuwa nzuri, urefu wake pia haukupendeza hata kidogo.





Post a Comment

 
Top