Zari yuko na watoto wanne. Wavulana watatu aliowapata kutoka kwa ndoa yake ya awali na msichana mmoja ambaye wamejaliwa na Diamond Platnumz. Ukimwangalia Zari na jicho la ndani utadani yuko na miaka ishirini na kitu lakini ndivyo sivyo. Zari alizaliwa 23 septemba, 1980.
Ikiwa ulikuwa unadhani kuwa Latiffa Dangote ndio mtoto wa mwisho kutoka kwa Zari basi naomba ufikirie tena. Hata kabla ya Latifa kutambaa, tayari Diamond anahitaji mtoto wa pili. Hii imebainika kutokana na ujumbe ambao Zari ameuweka kwenye akaunti yake ya instagram huku akiisifia hatua ya Kim Kardashian kupost picha akiwa uchi:
Post a Comment