0

Felix Odour ndilo jina alilopewa na wazazi wake, lakini kama ilivyo ada kwa wasanii wengi hujiita majina ya A.K.A, yeye akaamua kujiita Jalang'o. Ubunifu wake hasa kwenye kipindi cha Maisha asubuhi umewafanya mashabiki wengi kukubali kazi yake. Katika hali ambayo imeibua hisia mseto kwenye akaunti yake ya instagram Jalango aliamua kuweka picha ya Gari lake kama #WCW.



Post a Comment

 
Top