Uwezo wake mkubwa wa kuandika na kufoka mistari yenye urari, umempea umaarufu mwingi nchini Kenya na Afrika Mashariki. Mara nyingi mashule mengi hupewa majina ya watu maarufu kwenye jamii kama vile Obama, lakini kilichoshangaza nikuwa, kunao shule ambayo imeanzishwa na kupewa jina la msanii King Kaka
“Kaka Sungura Daycare and Kindergaten School”
Hii inadhihirisha kuwa hitmaker huyu wa Gerarahia atasalia kuwa mfalme wa wafalme kwenye ulingo wa burudani Afrika Mashariki.
Post a Comment