Mwanadada Brigid Achieng ndiye wa hivi punde kujiingiza kwenye ulingo wa socialite. Hizi ndizo picha zake.
Tazama Picha za Brigid Achieng, Socialite anayekuja kwa kasi nchini Kenya
Ni mojawapo ya kazi ambayo inadunishwa sana nchini japo ndiyo inayolipa zaidi. Wengi wamejihusisha nayo na hakuna siku hata moja wamelala njaa. Tatizo inayoambatana na kazi hii ni kuwa watu huwa na mtazamo hasi kuihusu. Nazungumzia kazi ya socialite.
Post a Comment