0

Tatizo la kutokuwa na uwezo wa kutimiza mahitaji ya kila, siku haliezi likaepukika hasa kwa wakenya wa tabaka la chini. Asilimia kubwa ya wakenya wamekumbwa na hali ngumu ya maisha: ukosefu wa hela za kukidhi maslahi, ukosefu maji safi na vitu vingine vingi.

Kufuatia hali hii hitmaker wa mfalme wa mapenzi, msanii mwenye sauti ya kumtoa nyoka pangoni, ametoa wimbo ambao unaitwa Niokoe.  Wimbo  huu  anautumia kama njia moja ya kuelezea matatizo ya wanyonge kwa jamii. Naamini hii ni njia moja nzuri ambayo kila msanii anaweza akatumia kipaji chake ili kueleza matatizo yanayowakumba wakenya wa tabaka la chini.

Tazamavideo ya wimbo wenyewe hapa:




Post a Comment

 
Top