Ni dhahiri kuwa wachumba wawili wanaozungumziwa zaidi Afrika mashariki ni Diamond Platnumz na Zari the Boss lady. Sasa hivi habari njema ni kuwa wachumba hao wawili wana sababu ya kutabasamu zaidi baada ya kujaliwa mtoto wa kike kwa jina Latiffah Naseeb Abdul aka Tiffa Dangote.
|
Mamake Diamond akiwa amebeba mjukuu wake Latiffah Zari yuko Kitandani |
Latiffa ameingia duniani saa 10 na dakika 40 alfajiri, Alhamisi hii. Kupitia akaunti yake ya Instagram Diamond hakusita kuelezea hisia zake:
"Sura ya mama yangu inatosha kueleza ni kiasi gani najiskia ndani ya Moyo wangu😍... karibu kwenye ulimwengu@princess_tiffah"
Post a Comment