0


Wakaazi wa kijiji cha Muzuwareni kwa Ndomo katika kaunti ya Kilifi waliingiwa na hali ya hofu baada ya mbuzi mwenye miguu sita kuzaliwa Jumapili asubuhi.

Mbuzi aliyemzaa mwana mbuzi huyo awali alikuwa amewazaa wana mbuzi wawili amabao walikuwa na miguu minne. Kinachoshangaza zaidi ni kuwa sehemu ya uzazi wa mbuzi huyo mwenye miguu sita ipo katikati ya miguu.


Mwenye mbuzi amedai kuwa hii ni dalili ya  mazingaombwe na anahitaji kutoa kafara ili kufukuzia mbali mapepo.

Post a Comment

 
Top