0

Kinachovutia zaidi na uongozi wa taifa la Kenya ni kuwa unaunga mkono talanta zilizopo nchini.  Linet Munyali maarufu kama Size 8 ni msanii ambaye yuko na sababu murwa ya kutabasamu kutokana na kile naibu wa rais alichomwambia.

Naibu wa rais William Ruto alimwamuru Size 8 ambaye ni sasa hivi ni mjamzito kuchukua hatua na kujifungua kwa hospitali yeyote ya umma bila malipo. Ruto alitoa ofa wakati akihudhuria mkutano wa Kampeni ya Jaguar ambayo ianaitwa Youth Empowerment Foundation .

 Kama njia moja ya kuonyesha furaha yake Size alikuwa na haya ya kusema:
“I can’t wait for the baby to come.This is the best thing that ever happened to my life.”
Aliendelea kuwa,
“I love Karen Hospital and the Deputy President should be ready to settle that small bill.His wife and daughter are my friends out of the fact that they love my music, especially the song Mateke, so my husband Mo and I are grateful for the offer,”

Post a Comment

 
Top