0

Willy Paul ni msanii wa gospel ambaye huzungumziwa zaidi nchini. Mbali na kuwa mara nyingi watu wengi humsema kwa ubaya, hitmaker huyo wa Hukuniacha amebakia kuwa kielelezo kwa wengi. Hivi majuzi Willy Paul aliteuliwa kuwania tuzo za AFRIMA.

Kama njia moja ya kuonyesha ufanisi wake, amepost picha ya gari lake jipya pamoja na ujumbe huu:

“I boast in nothing else but the strength that Christ gives me, through the suffering he endures whilst living as a human in this earth. In my weakness, am strong’ “and he said to me, my Grace is sufficient for you,my strength is made perfect in weakness”. Therefore most gladly, I will rather boast in my infirmities , the power of Christ my rest upon you and me all the days of our lives..”



Post a Comment

 
Top