0


Sauti  tamu, unyenyekevu na uwezo mkubwa wa kuandika nyimbo. ndivyo vitu ambavyo vinampatia upekee wa aina yake kwenye tasnia ya muziki. Baada ya kushinda male artist of the year kwa miaka miwili mfululizo katika tuzo za Groove, sasa ni dhahiri kuwa yeye ndiye msanii wa gospel anayependwa zaidi nchini.


Wikendi iliyopita Bahati alikuwa nchini Uganda ambapo aliwagusa wengi kupitia tamasha la Green Festival ambalo lilifanyika Kololo Aistrip jijini Kampala. kupitia akaunti yake ya Facebook alikuwa na haya ya kusema:
"My First Time in Uganda.... And it's a Ground Full Packed!!! I have felt the Love"




Post a Comment

 
Top