Hudah ni mwanadada ambaye maisha yake ya kifahari husababisha wengi kujiuliza chanzo cha fedha zake. Anamiliki gari la thamani la aina ya Range Rover. Shughuli zake nyingi huwa ni usafiri wa nje ya nchi ambazo bila shaka zinaelezea hali yake ya maisha ilivyo kiwango cha juu. Hivi majuzi alienda kula bata katika kisiwa cha Ibiza taifa la Hispania.
Ikiwa basi umekuwa ukijiuliza chanzo cha fedha zake ni kipi, jibu lenyewe amelitoa kupitia akaunti yake ya Instagram.
Alipost picha ambayo inaonyesha shamba lake la ekari 10, kisha akaeleza kuwa kilimo ndicho kinachompa maisha yake ya kifahari.
My day today , this ain't for everyone π. back to the hustle! This is what I do for a living , this is Where I get my eggs , my bread , my car, my house rent, etc on a 10 acre land .......#FARMING , #FOODsupplier .I let my hands get dirty so I can chill on a YACHT in Ibiza ✌️....... #TheyOnlySeeTheShine#TheyDunnoTheStruggle
Pia aliongeza picha nyingine kuonyesha namna kilimo chake cha sukuma na nyanya kimenawiri:
Good morning , May God bless the work of your hands π...........I woke up in my sponsor coz I'm a MISTRESS of all trades! π.....ππππ²π³πΏπΎππ‘ ...... #chickenchaser #MyOffice#Farming #Tomatoes #CattleFarming#Poultry #Cabbages #BWBB
Habari ndio hiyo. Wakati bado unazidi kutafakari kuhusu chanzo cha fedha zake, alipost picha nyingine yenye utata.
Post a Comment