Maishani wengi hubarikiwa na vitu tofauti tofauti. Baadhi ya hivi vitu huonekana na vingine havionekani. Tukizungumzia vile vinavyoonekana basi bila shaka hatuwezi kukosa kuwataja "Masocialites".
Hivi majuzi Huddah Monroe alisema kuwa ni tamanio lake kuona ulimwengu ambao binadamu hawavai nguo. Naamini hali itageuza ulimwengu kuwa makao ya watu wenye akili punguani lakini kwake anona ni jambo la busara. Kama njia moja ya kuonyesha kuwa anapenda ulimwengu wenye watu walio uchi, Huddah aliamua kuweka kwenye mtandao picha zaidi ya ishirini zinazoonyesha alivyobarikiwa sehemu yake ya makalio...

Post a Comment