Nominees wa tuzo za Kora mwaka 2016 wametangazwa ambapo Kenya inawakilishwa na Avril, Victoria Kimani pamoja na Kundi la Sauti Sol. Avril na Victoria Kimani wameteuliwa kwenye kitengo cha Best Female East Africa huku Sauti Sol wakitazamia tuzo ya Best Group Africa.
Msanii atakayeshinda kwenye kipengele cha Best Artist of the Continent, mbali na kuwa atapewa tuzo pia atepewa 1,000,000 $USD ambazo ni zaidi ya millioni tisini pesa za Kenya.
Msanii atakayeshinda kwenye kipengele cha Best Artist of the Continent, mbali na kuwa atapewa tuzo pia atepewa 1,000,000 $USD ambazo ni zaidi ya millioni tisini pesa za Kenya.
Post a Comment