Alipokuja na style yake mpya wengi waliikumbatia na kuhifurahia, kumbe mambo kangaja huenda yakaja. Hitmaker huyo wa makeke amezigusa nyoyo za wengi na nyimbo zake zenye mafunzo mengi hasa kwa namna anavyowasilisha ujumbe wake.
Kinyume na mapokezi ya nyimbo zake za hapo awali, Jimmy Gait amejipata pabaya baada ya kuachia rendition ya wimbo maarufu wa hello uliofanywa na Adelle.
Hii hapa baadhi ya comments za mashabiki:
Why Jimmy Gait? Whhhhyyyy? Did you really have to do it? ION, If Donald Trump is elected president, US should have Steve Harvey announce it.
Jimmy Gait's cover of Hello is proof that the church is not working hard in this country, they're letting the devil play too much. wtf
Post a Comment