0
Mireia Lalaguna Royo, 23, ndiye mwanada  mrembo zaidi duniani mwaka huu. Hili  ni taji ambalo linatamaniwa sana na mrembo huyu kutoka uhispania ndiye aliyewakwipu wote na kutawazwa taji hilo.
Wakati alipoitwa kupokezwa taji hilo, alionekana kun'gaa zaidi ya malkia hususan vazi lake la samawati alilokuwa amelivalia lilimfanya kumeta zaidi ya nyota.

Tazama baadhi ya picha zake:











  • RUSSIA
  • PHILIPPINES
  • GUYANA
  • LEBANON
  • SPAIN
  • INDONESIA
  • JAMAICA
  • FRANCE
  • SOUTH AFRICA
  • AUSTRALIA
  • - See more at: http://www.howwe.biz/9750/miss-spain-wins-miss-world-2015-congrats.html#sthash.fatbyObQ.dpuf

  • RUSSIA
  • PHILIPPINES
  • GUYANA
  • LEBANON
  • SPAIN
  • INDONESIA
  • JAMAICA
  • FRANCE
  • SOUTH AFRICA
  • AUSTRALIA
  • - See more at: http://www.howwe.biz/9750/miss-spain-wins-miss-world-2015-congrats.html#sthash.fatbyObQ.dpuf

    Post a Comment

     
    Top