Muziki wa Afrika Mashariki umekuwa na ushindani mkubwa sana hivi kwamba unahitaji ubunifu wa hali ya juu ili kubakia kwenye kilele. Hata hivyo mwaka wa 2016 unapoelekea ukingoni nimeona ni vyema ni kurudishe nyuma kidogo kama njia moja ya kukupekuli…
Size 8 Reborn amekiri kuwa Nusura ampoteze mtoto wake
Linet Munyali ama ukipenda mwite Size 8 Reborn ni msanii wa Gospel nchini ambaye siku zote ni kielelezo kwa wengi. Mbali na kuwa nyimbo zake ni tamu pia zinagusa na kubadilisha wengi. Siku chache baada ya kujifungua mwanake Ladasha Wambo, hitmaker h…
24 Simple ideas to make your Festive Season one of a kind.. No. 1 is crucial
The festive season can be stressful. Your to-do list has suddenly quadrupled. You may be spending more money than you intended. Perhaps you are entertaining house guests, hosting a party, or traveling. For most of us, life is simply busier and mo…
Mpira wa Kondomu wenye uwezo wa kuuwa virusi vya ukimwi wazinduliwa
Mojawapo wa ugonjwa ambao unaogopwa sana kwa hii karne ni Ukimwi. Watafiti hawalali wala kusinzia huku juhudi zote zikielekezwa kwa kupambana na ugonjwa huu. Hatua nyingi zimepigwa ila iliyopigwa hivi karibuni ni uzinduzi wa mpira wa kondomu ambao u…
Jimmy Gait ajipata pabaya huku wakenya wakimchana kama kuku wa Krismasi..tazama alichokifanya
Alipokuja na style yake mpya wengi waliikumbatia na kuhifurahia, kumbe mambo kangaja huenda yakaja. Hitmaker huyo wa makeke amezigusa nyoyo za wengi na nyimbo zake zenye mafunzo mengi hasa kwa namna anavyowasilisha ujumbe wake. Kinyume na mapokezi y…
Ikiwa ulidhani Huddah Monroe ndiye kichaa basi umenoa..alichokifanya huyu mwana mtindo wa Uganda kitakushangaza
Lolah Adhama mwana mitindo kutoka Uganda amewaacha wengi mdomo wazi baada ya kuweka picha hii kwenye mtandao. …
Ex wake Diamond Platnumz anatumia Umeme ambao ameiba..tazama kiasi anachodaiwa na Tanesco
Hivi karibuni Tanesco ilifanya ziara ya ghafla nyumbani kwake Wema Sepetu na kubaini kuwa anatumia umeme bila kulipa. Akiongea na wanahabari mkurungenzi mkuu wa Tanesco Eng. Felichesmi Mramba alieleza kiasi cha fedha kinachopatikana kutokana na fain…