Siku zote itaeleweka kuwa ukosefu wa kutambua ushirikiano katika
tasnia ya burudani ni kazi bure. Uganda Entertaiment Awards (UEA) ni tuzo ambazo hutambua juhudi zinazo wekwa na wasanii ili kuburudisha ncini Uganda, hata hivyo haimaanishi kuwa endapo wangejumuisha wasanii kutoka Kenya ingekuwa mwiba.
UEA ni tuzo ambazo huandaliwa na kampuni inayoitwa Cents Events Limited ambayo lengo lake ni kutambua uwepo wa wasanii kwenye tasnia ya burudani kuanzia wanaspoti, dee jay, waigizaji pamoja na wachekeshaji ambao labda wamebaguliwa kwa njia moja au nyingine. Hii ni idea nzuri ambayo inaweza ikaleta umoja wa tasnia ya burudani Afrika Mashariki lakini endapo wasanii kutoka Kenya hawawezi wakatambulika hususan katika vitengo kama vile MALE ARTIST na FEMALE ARTIST basi juhudi zote za kuleta umoja zitagonga mwamba.
Kinacho huzunisha zaidi ni kuwa wasanii kutoka Kenya hawajateuliwa kuwania tuzo zozote katika vitengo vyote ambavyo vimetengwa na Uganda Entertainment Awards. Hii ni chanagmoto kubwa kwa kuwa mataifa hayo mawili Kenya na Uganda yamekaribiana na hivyo ni vyema taifa la Uganda litambue juhudi za wasanii kutoka Kenya. Kinachokera zaidi ni ukosefu wa msanii kama vile Nameless (David Mathenge) ambaye wimbo wake wa hivi karibuni aliuimba kwa lugha ya asili ya taifa la Uganda.
Tazama list ya nominees hapo chini
BEST DANCEHALL ARTIST
1.Ziza Bafana
2.Sheeba Karungi
3.A Pass
4.Pallaso
5.Sanyu Cindy
BEST ACTRESS
1.Hellen Lukoma
2.Mariam Ndagire
3.Sarah Kisawuzi
4.Annet Nandujja
BEST ACTOR
1.Andrew Benob Kibuuka
2.Sam Bagenda
3.Abby Mukiibi
4.Ashraf Semwogerere
BEST FEMALE ENTERTAINMENT TV PRESENTER
1.Robbin Kisti
2.Anita Fabiola
3.Kirabo Fiona
4.Mary Luswata
Best male TV entertainer
1.Douglas Lwanga
2.Mc Kats
3.Calvin
4.Denzel
2.Mc Kats
3.Calvin
4.Denzel
BEST TV STATION
1.UBC
2.NTV
3.URBAN
4.BUKEDDE TV
BEST MALE ARTIST
1.Jose Chameleone
2.David Lutalo
3.Eddy Kenzo
4.Bebe Cool
5.Bobi Wine
6.Radio & Weasel
BEST MUSIC VIDEO
1.Love You Everyday
2.Wale wale
3.Kuzaala
4.Sitya loss
5.Gundeeze
BEST EAST AFRICAN ACT
1.DIAMOND PLATNUMZ
2.WIZKID
3.PATORANKING
4.ACTIVE
5.TIWA SAVAGE
BEST DJ
1.Dj Slick Stuart
2.Dj Roger
3.Dj Shiru
4.Dj Nimrod
5.Dj Apeman
Post a Comment