Tatizo moja ambalo hujitokeza na kuwa kiongozi ni kuwa siku zote unakosa hali ya kuwa na maisha fiche. Gavana wa Nairobi bwana Evans Kidero amejipata pabaya na jeshi la nne, la Kenya kwenye mtandao wa Twitter maarufu kama
Kenyans On Twitter (KOT).
Kilichopelekea Kidero kuvamiwa kwenye mtandao ni suruali yake ndefu ambayo ilikuwa na muonekano usiopendeza.
Naamini hii picha itamfungua Kidero macho kuwa, anafaa kubadilisha fundi wake wa mavazi.
Post a Comment