Nicki Minaj |
Nicki Minaj ni msanii ambaye mbali na kuwa ana uwezo mkubwa wa kufoka(rap), umbo lake lina mvuto wa kumnasa mwanaume yeyote yule duniani. Hivi majuzi alimtelekeza mchumba wake Meek Mill na katika mahojiano ambayo aliyafanya na mtandao wa TMZ alikiri kuwa alimtema Meek Mill kwa kuwa amemzimia mwandishi mmoja nchini Kenya Philip Etemesi.
Meek Mill |
Habari hii inatokea baada ya msanii Drake kumchana vibaya sana Meek Mill kwenye kwenye wimbo wake unaoitwa back to back. Baada ya Etemesi kuipata habari hii alikuwa na haya ya kusema
“I have always loved Nicki Minaj. I poured out my heart to her a long time ago and I always believed that one day she’ll come through. I am so happy. I know I can’t afford her but she can afford me so it’s all good. I can’t wait to tap that A***”
Inadaiwa kuwa msanii Meek Mill yuko katika hali ya kutojielewea na mshangao.
Post a Comment