0

Ni kundi ambalo limetatiza amani nchini Kenya na Afrika Mashariki kwa ujumla. Moja wapo ya mbinu ambayo kundi  hili linatumia  kuwasajili wafuasi wake ni kiwango cha elimu. Wanafunzi kutoka vyuo vikuu wenye uwezo  wa kukuza na kuendeleza uchumi wa taifa, ndio wanaolengwa zaidi.

Kama njia moja ya kuwatahadharisha wananchi, serikali ya Kenya imetoa majina kamili ya wanafunzi wa vyuo vikuu ambao wamesajiliwa na Kundi hilo haramu la Al-Shabaab;

1. Ahmed Iman – JKUAT – Head of video and propaganda for Al Shabaab
2. Lukeman Osman Isa – Uganda University – Participated in the recent Boure attack
3. Abdulrahman Abdullahi – UoN – Was among the attackers at Garissa University
4. Sadil Abdalla – International University of Africa School of Medicine – Arrested on his way to Somalia
5. Abdul Hajira – UoN – Blew himself up at Pangani Police Station killing 2 police officers

Post a Comment

 
Top