Muziki wa Afrika Mashariki umekuwa na ushindani mkubwa sana hivi kwamba unahitaji ubunifu wa hali ya juu ili kubakia kwenye kilele. Hata hivyo mwaka wa 2016 unapoelekea ukingoni nimeona ni vyema ni kurudishe nyuma kidogo kama njia moja ya kukupekuli…
Size 8 Reborn amekiri kuwa Nusura ampoteze mtoto wake
Linet Munyali ama ukipenda mwite Size 8 Reborn ni msanii wa Gospel nchini ambaye siku zote ni kielelezo kwa wengi. Mbali na kuwa nyimbo zake ni tamu pia zinagusa na kubadilisha wengi. Siku chache baada ya kujifungua mwanake Ladasha Wambo, hitmaker h…
24 Simple ideas to make your Festive Season one of a kind.. No. 1 is crucial
The festive season can be stressful. Your to-do list has suddenly quadrupled. You may be spending more money than you intended. Perhaps you are entertaining house guests, hosting a party, or traveling. For most of us, life is simply busier and mo…
Mpira wa Kondomu wenye uwezo wa kuuwa virusi vya ukimwi wazinduliwa
Mojawapo wa ugonjwa ambao unaogopwa sana kwa hii karne ni Ukimwi. Watafiti hawalali wala kusinzia huku juhudi zote zikielekezwa kwa kupambana na ugonjwa huu. Hatua nyingi zimepigwa ila iliyopigwa hivi karibuni ni uzinduzi wa mpira wa kondomu ambao u…
Jimmy Gait ajipata pabaya huku wakenya wakimchana kama kuku wa Krismasi..tazama alichokifanya
Alipokuja na style yake mpya wengi waliikumbatia na kuhifurahia, kumbe mambo kangaja huenda yakaja. Hitmaker huyo wa makeke amezigusa nyoyo za wengi na nyimbo zake zenye mafunzo mengi hasa kwa namna anavyowasilisha ujumbe wake. Kinyume na mapokezi y…
Ikiwa ulidhani Huddah Monroe ndiye kichaa basi umenoa..alichokifanya huyu mwana mtindo wa Uganda kitakushangaza
Lolah Adhama mwana mitindo kutoka Uganda amewaacha wengi mdomo wazi baada ya kuweka picha hii kwenye mtandao. …
Ex wake Diamond Platnumz anatumia Umeme ambao ameiba..tazama kiasi anachodaiwa na Tanesco
Hivi karibuni Tanesco ilifanya ziara ya ghafla nyumbani kwake Wema Sepetu na kubaini kuwa anatumia umeme bila kulipa. Akiongea na wanahabari mkurungenzi mkuu wa Tanesco Eng. Felichesmi Mramba alieleza kiasi cha fedha kinachopatikana kutokana na fain…
Bahati apatikana Ukweli ukidhihirika uongo hujitenga...
Ukweli hauwezi ukafichika hata iwe vipi. Ni hivi majuzi tu ambapo msanii maarufu bahati alimkashifu msanii mwenzake Daddy Owen, kwa kutomfanyia haki msanii mwenzake Denno. Hii ilibainika wazi baada ya maswali mengi kujitokeza kuhusu hali duni ya mai…
Miss Spain atawazwa taji la Miss World.... Tazama baadhi ya picha zake zenye mvuto
Mireia Lalaguna Royo, 23, ndiye mwanada mrembo zaidi duniani mwaka huu. Hili ni taji ambalo linatamaniwa sana na mrembo huyu kutoka uhispania ndiye aliyewakwipu wote na kutawazwa taji hilo. Wakati alipoitwa kupokezwa taji hilo, alionekana kun'gaa …
Vera Sidika lands a Reality Show on K24 TV
Controversial Vera Sidika has now landed a new job which will see her bank account growing fat day by day.The well endowed socialite, who has been dining with the high and mighty people in the society thanks to her "great behind" and "bright future"…
Wololo!! Sodoma na Gomorah Yarejea kwa kishindo ....Tazama picha uone Namna hali ilivyo usiku ndani ya vilabu vya Nairobi
Ikiwa ulidhani kuwa usiku ni wakati wa kulala basi naomba ufikirie tena. Nyakati za usiku ndani ya jiji kuu la Nairobi vituko haviishi. Wasichana wenye umri ambao unaweza ukabadilisha uchumi wa taifa wamegeuza vilabu vya Nairobi kuwa na uozo zaidi y…
Kenyatta University hunting for VC to replace Prof. Mugenda... Here Goes possible Successors
Kenyatta University is looking for a new vice-chancellor to replace Prof Olive Mugenda, who is set to retire early next year after serving a 10-year term. The university put an advertisement in the local dailies on Wednesday, asking qualified candid…
Avril, Sauti Sol pamoja na Victoria Kimani wameteuliwa kwenye tuzo za KORA 2016... Hii hapa Orodha kamili
Nominees wa tuzo za Kora mwaka 2016 wametangazwa ambapo Kenya inawakilishwa na Avril, Victoria Kimani pamoja na Kundi la Sauti Sol. Avril na Victoria Kimani wameteuliwa kwenye kitengo cha Best Female East Africa huku Sauti Sol wakitazamia tuzo ya Be…