0
7 Dumb Traits That Every Lady hate
7 Dumb Traits That Every Lady hate

Being successful with women is as much about what you don’t do as what you do. In other words, your personality might be amazingly attractive to women. But no one would know it, if one of these seven “game killers” is standing in your way.   1. Need…

Read more »

0
Taylor Swift Ang'ara kwenye tuzo za MTV Video Music Awards mwaka huu...Hii hapa Orodha Kamili ya washindi
Taylor Swift Ang'ara kwenye tuzo za MTV Video Music Awards mwaka huu...Hii hapa Orodha Kamili ya washindi

Tuzo za MTV Video Music awards zilifanyika Jumapili ya  tarehe 30 Agosti, 2015 huko Los Angeles, Marekani. Mwimbaji Taylor Swift ndiye aliyeibuka kuwa mshindi mkubwa baada ya kunyakua tuzo nne. Hii hapa Orodha kamili ya washindi: Video of the Year: …

Read more »

0
Mwanaisha Chidzuga aachishwa kazi Standard Group....hii hapa sababu ya kufutwa kwake  kazi .
Mwanaisha Chidzuga aachishwa kazi Standard Group....hii hapa sababu ya kufutwa kwake kazi .

Ikiwa umekuwa ukifuatilia kwa makini runinga ya KTN basi bila shaka mtangazaji Mwanaisha Chidzuga sio mgeni kwako. Sauti yake ya kipekee na  mtiririko mzuri wa lugha ya kiswahili ndivyo vitu ambavyo humweka kipao mbele kwenye ulingo wa utangazaji. H…

Read more »

0
Tazama Orodha ya washindi wa tuzo za mwafaka mwaka huu
Tazama Orodha ya washindi wa tuzo za mwafaka mwaka huu

Tuzo za mwafaka mwaka huu zilifanyika tarehe 30.08.2015 ndani ya jumba la KICC.  Tazama mshindi kwa kila kitengo: TOP SONG OF THE YEARMwema By Mercy MasikaNgori By Kelele TakatifuLover By BahatiTam Tam By Willy Paul ft Size 8Kibali By Florence Anden…

Read more »

0
Mbuzi mwenye miguu sita azaliwa kaunti ya Kilifi...Alichokisema mwenye mbuzi kitakushangaza
Mbuzi mwenye miguu sita azaliwa kaunti ya Kilifi...Alichokisema mwenye mbuzi kitakushangaza

Wakaazi wa kijiji cha Muzuwareni kwa Ndomo katika kaunti ya Kilifi waliingiwa na hali ya hofu baada ya mbuzi mwenye miguu sita kuzaliwa Jumapili asubuhi. Mbuzi aliyemzaa mwana mbuzi huyo awali alikuwa amewazaa wana mbuzi wawili amabao walikuwa na mi…

Read more »

0
Naibu wa rais William Ruto ampatia Size 8 sababu ya kutabasamu
Naibu wa rais William Ruto ampatia Size 8 sababu ya kutabasamu

Kinachovutia zaidi na uongozi wa taifa la Kenya ni kuwa unaunga mkono talanta zilizopo nchini.  Linet Munyali maarufu kama Size 8 ni msanii ambaye yuko na sababu murwa ya kutabasamu kutokana na kile naibu wa rais alichomwambia. Naibu wa rais William…

Read more »

0
Hili Ndilo Gari Jipya la Willy Paul...Number Plate Ndio Inavutia
Hili Ndilo Gari Jipya la Willy Paul...Number Plate Ndio Inavutia

Willy Paul ni msanii wa gospel ambaye huzungumziwa zaidi nchini. Mbali na kuwa mara nyingi watu wengi humsema kwa ubaya, hitmaker huyo wa Hukuniacha amebakia kuwa kielelezo kwa wengi. Hivi majuzi Willy Paul aliteuliwa kuwania tuzo za AFRIMA. Kama nj…

Read more »

0
Bahati Awapagawisha Mashabiki Nchini Uganda
Bahati Awapagawisha Mashabiki Nchini Uganda

Sauti  tamu, unyenyekevu na uwezo mkubwa wa kuandika nyimbo. ndivyo vitu ambavyo vinampatia upekee wa aina yake kwenye tasnia ya muziki. Baada ya kushinda male artist of the year kwa miaka miwili mfululizo katika tuzo za Groove, sasa ni dhahiri kuwa…

Read more »

0
Tume ya TSC Yatumia Mbinu ya Kipekee ili Kukwepa Agizo la Mahakama
Tume ya TSC Yatumia Mbinu ya Kipekee ili Kukwepa Agizo la Mahakama

Tume ya kuwaajiri waalimu nchini TSC  imeamua kufanya kitu ambacho itakitumia kama njia moja ya kukwepa amrisho la mahakama kuhusu kuwaongezea waalimu mishara yao. Itafahamika kuwa TSC imeamrisha  mara mbili na mahakama ili iwaongezee waalimu mishah…

Read more »

0
Instagram ya Huddah Monroe
Instagram ya Huddah Monroe "Yahackiwa"?...Tazama Picha yake ya Mat!t! Pamoja na Nambari ya Simu

Hali ilivyo ni kuwa akaunti ya instagram ya Huddah Monroe "imehackiwa" na anayedaiwa kuwa Vera Sidika ambaye pia ni adui yake kwenye ulingo wa usocialite. Baada ya kuhack akaunti hiyo, Vera aliapost picha inayoonyesha mat!t! ya Huddah pamoja na namb…

Read more »

0
Ajabu!! Baada ya kujifungua Latiffah Dangote Hiki ndicho Zari The Boss Lady Alichokifanya ili arudishe Umbo Lake
Ajabu!! Baada ya kujifungua Latiffah Dangote Hiki ndicho Zari The Boss Lady Alichokifanya ili arudishe Umbo Lake

Mara nyingi mwanamke ambaye amejifungua mtoto huchukua muda mrefu kabla ya kurudisha umbo lake linalotamanisha. Kinyume na hali hii, Zari the Boss Lady haikumchukua muda mrefu ili arudishe umbo lake lenye mvuto baada ya kujifungua Tiffa Dandote. Swa…

Read more »

0
Wanafunzi wanne wafa maji Bahari Hindi huku wengine wanne hawajulikani walipo
Wanafunzi wanne wafa maji Bahari Hindi huku wengine wanne hawajulikani walipo

Mwezi wa nane siku zote huwatatiza wakenya sana hasa kwa kuwapoteza wapendwa wao. Kisa cha hivi punde ni wanafunzi kutoka shule ya msingi ya St. Martin  ambao walizama maji wakati wakipiga mbizi maeneo ya Pavilion Beach katika kaunti ya Kwale. Inada…

Read more »

0
This is what Manchester United was Told by Tottenham Concerning Harry Kane
This is what Manchester United was Told by Tottenham Concerning Harry Kane

Manchester United have been told by  Tottenham to …

Read more »

0
"Huyu" ndiye Woman Crush Wednesday #WCW wa Jalang'o...Usidhani ni mke wake

Felix Odour ndilo jina alilopewa na wazazi wake, lakini kama ilivyo ada kwa wasanii wengi hujiita majina ya A.K.A, yeye akaamua kujiita Jalang'o. Ubunifu wake hasa kwenye kipindi cha Maisha asubuhi umewafanya mashabiki wengi kukubali kazi yake. Kati…

Read more »

0
Haraka aje? Diamond afikiria kuhusu mtoto wa pili
Haraka aje? Diamond afikiria kuhusu mtoto wa pili

Zari yuko na watoto wanne. Wavulana watatu aliowapata kutoka kwa ndoa yake ya awali na msichana mmoja ambaye wamejaliwa na Diamond Platnumz. Ukimwangalia Zari na jicho la ndani utadani yuko na miaka ishirini na kitu lakini ndivyo sivyo. Zari alizali…

Read more »

0
Hatari!!!! weka mbali na watoto Kim Kardashian apost picha akiwa Uchi
Hatari!!!! weka mbali na watoto Kim Kardashian apost picha akiwa Uchi

Kumekuwa na tetezi kuwa Kim Kardashian anadanganya kuwa yuko na uja uzito. Kama njia moja ya kudhibithisha uja uzito wake Kim amefanya kile ambacho kitawaacha wengi mdomo wazi. Hii ndiyo picha aliyoweka kwenye akaunti yake ya instagram pamoja na cap…

Read more »

0
12 Foods to Avoid Before Sex no.4 is UNAVOIDABLE
12 Foods to Avoid Before Sex no.4 is UNAVOIDABLE

Did you know that there are some foods to avoid before sex? There are some foods out there that can get in the way of your social agenda, so to speak, so it’s best to avoid them before a sexual encounter. Check out these foods to avoid before sex so…

Read more »

0
Rais Paul Kagame amewagusa wakenya pabaya tazama walivyomchana kama tambara bovu
Rais Paul Kagame amewagusa wakenya pabaya tazama walivyomchana kama tambara bovu

Njia moja ya kuishi na amani kwenye mtandao wakijamii hususana wa twitter, ni kuhakikisha kuwa, haujawakosea wakenya. Hivi majuzi kituo cha kimataifa CNN kilijipata pabaya baada ya kusema kuwa taifa la kenya ni makao ya uhalifu. Jamaa ambaye najua h…

Read more »
 
Top