Benson Wanjau maaraufu kama Mzee Ojwang, hatimaye hii leo amepumzishwa katika makaburi ya
Sauti Sol Wathibithisha kufanya wimbo na Akon
Baada ya kumsababisha rais Barack Obama kuresebuka lipala Dance ndani ya Ikulu, kundi la Sauti Sol lilizungumziwa zaidi na vyombo vin...
Rose Muhando Ameamua Kuuasi UKRISTO na Kukumbatia UISLAMU Tazama Sababu Inayomfanya
Anaitwa Rose Muhando, mwanadada ambaye amewagusa na kuwabadilisha wengi waliopotea kwa dhambi kupitia nyimbo zake zenye mafunzo. Rose ...
Hii ndio sababu rais Obama aliacha zawadi ya uchoraji na kinyagu(sculpture) aliyopewa na rais Uhuru Kenyatta
Siku zote mgeni akitembelea wenyeji ni vyema apewe zawadi ambayo itamkumbusha safari yake. Kwa muujibu wa msemo wa zama, mbuzi wa kupewa...
Picha: Aibu!!!! Ethiopia walimkaribisha Obama kwa mkeka
Popote aendapo lazima, ataacha historia. Namzungumzia rais Barack Obama. Ziara yake mwishoni mwa wiki jana hapa nchini bila shaka ndiyo ...
Bobby Christina mwanae marehumu Whitney Houston afariki dunia
Baada ya kuhangaika hospitalini kwa zaidi ya miezi sita huku akiwa kwenye mashine ya kuendeleza uhai ( life support machine) , hatimay...
Zari The Boss lady mchumba wake Diamond onyesha picha za ujauzito wake
Hali ilivyo ni kuwa zari the boss lady, siku zake za kumleta malaika zimekaribia. kwa muujibu wa jumbe alizoandika kwenye mtandao wa ki...
Diamond ashinda tuzo nyingine barani Afika
Wiki moja tu baada ya kung'aa kwenye tuzo za MTVMAMA kama mtumbuizaji bora wa mwaka, Abdul Naseeb maarufu kama Diamond Platnumz ameonge...
Chris Brown akiri kuabudu shetani tazama alichokisema
Imani ni kitu ambacho kinamuunganisha mtu na muumba wake. Watu wengi duniani huabudu miungu tofauti tofauti, ilmradi wanakidhi haja ya im...
Hii ndio bendi ambayo itatumbuiza rais Obama ndani ya Ikulu ya Nairobi leo jioni
Ijapokuwa hawakuweza kushinda tuzo ambazo waliteuliwa hivi punde, kundi la
Huyu ndiye Joan Wamaitha msichana yatima aliyemkaribisha rais Obama jana jioni, mfahamu zaidi hapa
Ni matarajio ya kila mtu kutangamana na kiongozi anayelindwa zaidi duniani, rais Barack Obama. Mapokezi aliyoyapata baada ya kufika kwen...
Ujumbe wa Naibu chansela Profesa Olive Mugenda kwa wanafunzi kuhusu ujio wa Obama chuoni
Hali ilivyo ni rasmi kuwa rais wa Marekani Barack Obama atazuru chuo kikuu cha Kenyatta. Awali wanafunzi wa chuo kikuu cha Nairobi walitoa...
Tazama picha za Washaufu(Socialites) 20 wenye umbo tata barani Afrika
Maumbile siku zote ni baraka kutoka kwa mwenyenzi Mungu. Hata hivyo, uwe na umbo lenye mvuto au ukose, muhimu ni kuwa
Video: wimbo mpya wa King Kaka unaitwa Gerarahia
Huu ni wimbo mpya kutoka kwa King Kaka, audio imetayarishwa na Rico Beatz nayo video imeongozwa na
Ngoma mpya za wiki hii, na na maoni ya mashabiki
Hiki ni ni kitengo cha Kali za Wiki hii ambacho kinawangazia wasanii ambao wametoa nyimbo mpya na baadhi ya maoni ambayo mashabiki wali...
Baada ya Afrika Mashariki kukosa kufanya vizuri kwa tuzo za MTVMAMA, Jose Chameleon amezungumza
Dr Jose Chameleon ni msanii ambaye amechangia pakubwa kwa ukuaji wa muziki wa Afrika Mashariki. Sauti yake ya kipekee pamoja utunzi wake wa...
Tiwa Savage ajifungua mtoto wa kiume huku Bien wa Sauti Sol akiri kumzimia
Mtoto ni baraka kutoka kwa mwenyenzi Mungu na siku zote anakaribishwa duniani kwa furaha. Msanii wa kike kutoka Nigeria Tiwatope Savage-Bal...
VIDEO: Wimbo mpya Kuchu Kuchu Bahati ft Wyre and King Kaka
Hii ndio video mpya ya Bahati Tena akiwa amewashikirisha Wyre pamoja na King Kaka. Wimbo umetayarishwa na
Bahati awashirikisha Wyre na King Kaka kwa wimbo wake Kuchu Kuchu, tazama sababu aliyotoa.
Bahati ambaye ni mshindi wa Male Artist of the year kwenye tuzo za Groove Awards 2015, ameamua kufanya kitu ambacho kitawaacha
Collabo ya Alikiba na Davido
Ni dhahiri kuwa mafanikio makubwa anayoyafurahia msanii Diamond Platnumz yalitokana na
Picha: Ndege itakayombeba Rais wa Marekani Barack Obama yatua Chuo Kikuu cha Kenyatta
Shughuli za kawaida katika chuo kikuu cha Kenyatta zilisimama
Victoria Kimani awakashifu wakenya, tazama alichokisema
Victoria kimani ni msanii wa kwanza kutoka kenya kuwahi
Hii ndiyo sababu Christian Wa Longombas anahitaji maombi yako
Matatizo ya Christian wa Longombas yalianza mnamo
MTVMAMA: Diamond Platnumz ashinda Best Live Act tazama washindi wengine.
Mbali na kushinda tuzo ya Best live act,
Hivi unajua majina kamili ya wasanii unaowapenda wa Afrika Mashariki?
Siku zote usilolijua ni usiku wa giza ndio
MKE WA MAREHEMU AK47(NDUGUYE JOSE CHAMELEON) APANGA KUISHTAKI FAMILIA YA MAYANJA
Kifo cha Emmanuel Mayanja maarufu kama AK47 mapema
TAZAMA WASANII WALIOFANYA VIZURI NA WAMESHINDWA KURUDI KWA GAME
Wasanii wengi walifanya vizuri enzi ya nyuma na ikiwa walifanya vizuri inamaanisha
Uganda Entertainment Awards (UEA) yakosa kutambua juhudi za wasanii wa Kenya
Siku zote itaeleweka kuwa ukosefu wa kutambua ushirikiano katika
HAPPY BIRTH DAY A.Y, TAZAMA WASANII AMBAO A.Y AMECHANGIA UFANISI WAO, DIAMOND NI MOJAWAO
A.Y alizaliwa mnamo tarehe 5 julai mwaka wa
TAZAMA MUONEKANO WA NAZIZI BAADA YA KUKATA DREADLOCKS
Miongoni mwa vitu ambavyo haviwezi epukika maishani ni mabadiliko.
WASANII WENYE USHAWISHI MKUBWA AFRIKA MASHARIKI
Tasnia ya burudani inazidi kubadilika na kila kuchao mastaa kibao wanazaliwa. Siku zote palipo na talanta au kipaji
AIBU!!! HUDDAH MONROE AONYESHA UCHI WAKE
Jamii inabadilika na kila kuchao vitu vilivyochukuliwa kuwa vya kushangaza siku hizi vimesalia kuwa vya